Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta iliyoko jijini Nairobi, ni Hospitali kongwe zaidi nchini Kenya. Ilianzishwa mwaka wa 1901 na uwezo wa vitanda takribani 40 kama Native Civil Hospital, ilibadilishwa jina na kuitwa King George VI mwaka 1952. Wakati huo,masetla walikuwa wakihudumiwa na hospitali ya jamii iliyoko karibu, European Hospital (sasa inaitwa Nairobi Hospital). Ilibadilishwa jina hadi Kenyatta National Hospital - baada ya Jomo Kenyatta - kufuatia uhuru kutoka Uingereza. Kwa sasa ndiyo hospitali kubwa ya rufaa na mafundisho nchini.
Je,hospitali kongwe zaidi nchini Kenya ni gani?
Ground Truth Answers: Hospitali ya Kitaifa ya KenyattaHospitali ya Kitaifa ya KenyattaHospitali ya Kitaifa ya Kenyatta
Prediction: